HOW TO MAKE POTATO SMILEY (English&Swahili)

Mahitaji

 • Viazi vya kiasi vilivyochemshwa 2
 • Unga wa mahindi  (mwepesi ) vijiko 2 vya chakula  (cornflour)
 • Chenga za mkate vijiko 2 vya chakula
 • Chumvi kiasi
 • Mafuta kwa ajili ya kuchomea

WATCH FULL VIDEO HERE;

Matayarisho 

 1. Ponda viazi vilivyochemshwa mpaka vinakua laini

  shuna's kitchen
  shuna’s kitchen
 2. Tia Unga (cornflour),chenga za mkate na chumvi

  20171026_143015.jpg
  shuna’s kitchen
 3. Changanya vizuri
 4. Viazi visiwe vinanyata, vikiwa vinanyata viweke kwenye friji kwa dakika 15 mpaka 30
 5. Weka mfuko sehemu yako ya kufanyia kazi na uweke viazi, juu ya viazi uweke tena mfuko mwepesi

  Screenshot_2017-10-27-23-31-39-1.png
  shuna’s kitchen
 6. tumia kifimbo cha kusukumia kusukuma viazi mpaka uwe kiasi usiwe mwembamba sana wala mnene sana  (makisio inch 1/4)
 7. Tumia kifaa chochote kukatia maumbo unayopenda

  20171026_144356.jpg
  shuna’s kitchen
 8. Tumia mrija au ujiti wa pipi kutoboa macho na kijiko kilichokua na umbo la duara kufanya alama ya mdomo  (smile)

  20171026_145331.jpg
  shuna’s kitchen
 9. Vichome kwenye mafuta yaliyopata moto wa kiasi kwa dakika 4 mpaka 5 au mpaka pande zote 2 ziwive

  PhotoGrid_1509144369840.jpg
  shuna’s kitchen
 10. Zitoe na furahia na watoto.

  PhotoGrid_1509144279597.jpg
  shuna’s kitchen

ENGLISH VERSION 

Ingredients

 • 2 medium boiled potatoes
 • 2 tbsp. corn flour
 • 2 tbsp. bread crumbs
 • Salt
 • Oil for frying

Method 

 1. Mash the potatoes
 2. Add corn flour, bread crumbs and salt
 3. Mix well
 4. Mashed potatoes shouldn’t be sticky,  if so put in the fridge for about 15 to 30 minutes
 5. Put a plastic wrap on your work surface and place the potato dough on it, and place another plastic wrap on top of the potato dough
 6. Use a rolling pin to roll between the plastic wraps to about 1/4 inch
 7. Use any cookie cutter to make  the shape
 8. Use a straw or lolly stick to make the eyes and use any round shaped spoon to make a nice smile 🙂
 9. Fry in a medium hot oil for about 4-5 minutes or until both sides are done
 10. Remove and enjoy with kids.
Advertisements

HOW TO MAKE CROISSANTS / JINSI YA KUTENGENEZA CROISSANTS 

Mahitaji

 • Unga wa ngano nusu kilo
 • Maji kikombe 1
 • Sukari kijiko 1 cha chakula
 • Siagi isiyokua na chumvi vijiko 4 vya chakula
 • Maziwa ya baridi  (kwa ajili ya kukandia)
 • Siagi gram 190 (vijiko 13 vya chakula+ 1 cha chai) kwa ajili ya kutolea tabaka
 • Yai 1

 Matayarisho 

 1. Kwenye kibakuli tia maji, hamira, sukari na chumvi koroga kidogo weka pembeni
 2. Tia unga wa ngano kwenye bakuli la kukandia pamoja na siagi vijiko 4, Changanya

  20171022_165120.jpg
  Shuna’s kitchen
 3. Tia mchanganyiko wa hamira endelea kuchanganya
 4. Anza kutia maziwa ya baridi mpaka donge linashikana
 5. Ukande unga mpaka unakua mlaini
 6. Utie kwenye mfuko ufunge vizuri na uweke kwenye fridge (usiku mzima)

  20171022_170615.jpg
  Shuna’s kitchen
 7. Chukua siagi gram 190 (vijiko 13 vya chakula + 1 cha chai) na Utie kwenye kifuko cha kiasi cha pembe 4 (makisio inchi 9 urefu 7 upana) na utumie kifimbo cha chapati kuiweka sawa ienee mote, iweke kwenye fridge  (usiku mzima)

  20171022_171121.jpg
  Shuna’s kitchen
 8. Siku ya pili, pakaza unga kwenye sehem ya kukandia, sukuma donge lako  kiurefu  (sio duara) inch 17 urefu 8 upana  (17×8)

  20171023_105650.jpg
  Shuna’s kitchen
 9. Weka siagi baridi juu  kati kati(siagi iwe baridi na ngumu kiasi) na uchukue pembe zote 2 za unga uziweke juu ya siagi

  20171023_105735.jpg
  Shuna’s
 10. Pakaza tena unga uendelee kusukuma tena na ukunje tena kwa mara ya 2

  20171023_105955.jpg
  Shuna’s kitchen 
 11. Pakaza unga usukume na ukunje tena kwa mara ya 3
 12. Pakaza unga na ukunje tena kwa mara ya 4 na ya mwisho, mara hii sukuma urefu wa unga uwe inch 30 (30×8) unaweza kuugawa unga sehem 2 kama huna sehem ya kutosha na ukasukuma kila sehem 1 ukatoa inch 15 × 8 (urefu inch 15 upana inch 8)
 13. Kata pembe 3 na kila pembe 3 moja weka alama ndogo ya kukata na ufanye umbo za croissants kwa kuanza kukunja juu ( kwenye pembe 2)

  20171023_111503.jpg
  Shuna’s kitchen 
 14. Weka kwenye trey na upakaze yai juu yake

  20171023_112439.jpg
  Shuna’s kitchen 
 15. Bake moto 200c kwa dakika 15 mpaka 20 au mpaka ziwe name rangi ya kahawia iliyokua haijakoza sana

  20171023_114442.jpg
  Shuna’s kitchen

Zitoe na zipo tayari kwa kula

WATCH FULL VIDEO HERE;

English version 

Ingredients

 • Half kg plain flour
 • 1 cup water
 • 3 teaspoons yeast
 • Salt
 • 1 tablespoons sugar
 • 4 tbsp unsalted butter
 • Cold milk  (for kneading)
 • 190 g unsalted butter (13tbsp.+ 1tsp)
 • 1 egg

Method 

 1. In a small bowl put water add yeast, sugar and salt, mix and put aside
 2. In a kneading bowl add flour and 4 tbsp of butter, mix well
 3. Then add yeast mixture, mix a little bit more
 4. Start adding cold milk until the dough is formed
 5. Knead until soft
 6. Wrap the dough in a plastic foel and refrigerate overnight
 7. Place the remaining butter (190g) in a zip bag or any triangle plastic bag ( 9×7 inch) and use a rolling pin to roll until the butter fit in the bag, refrigerate overnight
 8. Next day,  take both the dough and butter out from the refregirater and start rolling the dough on a floured work surface about 17×8-inch
 9. Place the cold butter on top and between (the butter should be cold and a little bit hard) fold and align 2 sides of the dough on top of the butter so that they are even
 10. Sprinkle some flour on your work surface roll the dough and fold for the second time
 11. Repeat the process for the 3rd time
 12. Sprinkle some flour on your work surface place the dough and sprinkle some flour on top, roll and fold for the forth and last time,  this time roll about 30×8 inch or divide the dough into 2 pieces and roll each about 15×8 inch
 13. Cut triangles (to make 10-12 )croissants  and each triangle make  a small slit in the middle of the base  and fold to shape by rolling from the base up
 14. Place them in a baking trey and brush some egg on top
 15. Bake at 200c for 15 to 20 minutes or until golden brown
 16. And they are ready to go

HOMMADE CHICKEN PIZZA

pizza2.jpg

MAHITAJI

DONGE LA UNGA
Unga wa ngano kikombe 1 na nusu
Mafuta ya kupikia vjk 2 vya kula
Chumvi kiasi
Sukari kjk 1 cha chai
Maji kikombe 1 kasrobo (nusu na robo kikombe)

Hamira kijiko 1

 • SOSI YA PIZZA
  Nyanya 1 kubwa au 5 ndogo ndogo(cherry tomatoes)
  Pilipili hoho/boga kiasi
  Keroti 1 ya kiasi
  Kitunguu saum punje 1
  Tomato ya chipsi vijijo 4-5

VYA KAUWEKEA JUU
Kitunguu maji (kikate kate chembamba na kirefu)
Tomato/nyanya (zikate kate duara)
Pilipili hoho/boga (zikate kate)
Cheese ya cheddar na mozzarella
kidari cha kuku kimoja
Black olives

Pan ya kupikia pizza ni inch 12 ( cm 30)

MATAYARISHO

tayarisha / washa oven yako

 

 1. kwenye bakuli la la nafasi tia maji ya uvuguvugu na hamira koroga kidogo
 2. tia sukari,chumvi na mafuta ya kupikia
 3. tia unga wa ngano ukande mpaka unga uwe  laini (unga utanyata na sio tatizo) pizza dough.jpg
 4. chukua bakuli ieneze mafuta uweke unga kwa dakika 10 hadi 15TAYARISHA SOSI YA PIZZA
 5. kwenye blender saga nyanya(tomato),pilipili hoho(pilipili boga),keroti,tomato ya chipsi, ktunguu saum na chumvi (usiweke maji) mpaka inakua laini , weka pembeni pizza sauce.jpg
 6. chukua unga utandaze kwenye pan ya pizza ienee  ( ambayo haigandishi au kama inagandisha ipake mafuta ya kupikia)
 7. pakaza sosi ya pizza kiasi  ieneze ikifuatiwa na  cheese
 8. anza kuweka(toppings) kitunguu maji , tomato
  ilipili hoho/boga, kuku na umalizie na cheese, weka na black olives juu pizza no bake.jpg
 9. ubake kwa oven iliyowashwa mapema moto 200c dakika 20 hadi 25 baking pizza.jpg

ikimaliza itoe ikate na ipo tayari


WATCH FULL VIDEO HERE ;

INGREDIENTS

DOUGH
1 1/2 white flour
2 TBSP cooking oil
Salt to taste
1 tsp sugar
Water 3/4

PIZZA SAUCE
1 tomato (medium size) or 5 cherry tomatoes
Capsicum
1 medium carrot
Garlic 1 clove
Ketchup 4-5 tbsp.

TOPPING
Onion
Tomatoes
Capsicum
Cheddar and mozzarella cheese
Cooked chicken
Black olives

pizza pan 12 inch (30 cm)

 1. in a kneading bowl add warm water and yeast, mix a little bit
 2. add salt, sugar and oil
 3. start adding flour and knead until soft ( the dough will be very sticky and that’s ok)

place the dough in an oiled bowl, cover and let it rise for 10 to 15 mins or until almost doubled in size

PIZZA SAUCE

in a blender put 1 tomato (medium size) or 5 cherry tomatoes, capsicum, 1 medium carrot, garlic 1 clove, ketchup 4-5 tbsp. blend until paste

 1. use your hands and spread the dough onto pizza pan
 2. cover with sauce (pizza sauce) followed by cheese
 3. start adding toppings , chicken, cheese again and finish with black olives
 4. bake at 200c for 20-25 minutes

 

 

MILK POWDER BARFI / KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA (English&Swahili) 

MAHITAJI

Maziwa ya unga kikombe 1 na nusu

Sukari kikombe 1 na robo

Maji kikombe 1 na nusu

Arki ya vanilla kijiko 1 cha kula

Rangi ya chakula kjk 1 cha kul(orange)

Mafuta ya kupikia vjk 2 vya kula

MATAYARISHO

 1. Kwenye sufuria au pan tia maji na sukari , wacha ichemke
 2. Ikianza kutoa mapovu mazito ( dakika 8 hadi 10) tia rangi , arki na mafuta ya kupikia , koroga kg wacha ichemke tena

 3. Subiria tena kwa dakika 3 mpaka 5 au iwe nzito ukiigusa kwa vidole viwili ukiwachia ifanye kama uzi au mfano wa gundi

PhotoGrid_1506518941308

 1. Tia maziwa ya unga koroga haraka haraka kwa dkk 1 au mpaka mchanganyiko uwe mzito

 1. Pakaza mafuta sehem yako ya kukatia au trey , weka mchanganyiko wako, tumia mwiko,kijiko au kifimbo kuwekea sawa,  wacha upoe na ukate shape unayopenda


INGREDIENTS

1 and 1/2 cup full fat milk powder

1 and 1/4 cup sugar

1 and 1/2 cup water

1 tbsp vanilla essence

1 tbsp food colour (orange)

2 tbsp cooking oil

METHOD

 1. In  pot or pan put water and sugar, bring that to boil
 • After 8 to 10 mins sugar will start produce some heavy bubbles,  add food colour, vanilla essence and oil  ,stir

 • Wait for another 3 to 5 mins , check the syrup if it is ready  ( tap the sugar syrup with a forefinger , then touch your thumb with your forefinger , pull them apart gently and the syrup should form a string)

 • PhotoGrid_1506518941308
  4. Now add milk powder,  give a quick and good mix for another 1 minute or until the mixture is well thickened

  1. Apply some oil on your work surface,  place the mixture on it ( you can use a spoon or rolling pin to give it a flat shape , wait until completely cool before cutting in to pieces.

  watch full video here;

  http://www.youtube.com/watch?v=Fa-7nRzjFm4

  TUNA/FISH KEBAB / KABAB ZA TUNA

  fish kebab pic
  MAHITAJI

  Tuna/samaki wa kikopo 1(awe mkavu kabisa)

  kitunguu maji kidogo 1(kikate kate)

  chenga za mkate vijiko 2 vya chakula

  majani ya coriander (kata kata)

  kiini cha yai 1

  chenga au pilipili ya unga kiasi

  bizari nyembamba kjk 1 cha kula

  garam masala kjk 1 cha kula

  kitunguu saum na tangawizi kjk 1 cha kula

  chumvi kiasi

  maji ya ndimu au limau 1

  MATAYARISHO

  1. kwenye bakuli tia kila kitu pamoja
  2. changanya mpaka vichanganyike vizuri
  3. chukua vjk 2 vya mchanganyiko wa samaki fanya shape ya duara kisha izo duara zifanye flat/bapa(zibatize) PhotoGrid_1505948506613.png
  4. kaanga/chonma kwa mafuta kidogo
  5. upande 1 ukiwiva geuza wa pili mpaka ziwe rangi ya brown na uzitoe .  enjoy na ketchup , pilipili au sauce yoyoyte.
  6. PhotoGrid_1505948621633.png

   

  INGREDIENTS

  1 can tuna steak

  1 small onion(chopped)

  2 tbsp. bread crumbs

  coriander leaves(chopped)

  1 egg yolk

  1 tsp chilli flakes/powder

  1 tbsp. cumin powder

  1 tbsp. garam masala

  1 tbsp. ginger garlic paste

  salt to taste

  1 lime /lemon juice

  METHOD

  1. in a bowl put all the ingredients
  2. give a good mix
  3. take 2 tbsp. of fish mixture, make a ball  shape and then flatten the ball ( you will get 6-7balls)
  4. shallow fry
  5. when the first side is done flip the other one , fry until brown and the remove. enjoy with ketchup,chilli sauce or any sauce of your choice.

   

  WATCH FULL VIDEO HERE ; ANGALIA VIDEO YOTE HAPA

   

   

   

   

   

   

  SOFT COCONUT CHAPATIS / CHAPATI LAINI ZA NAZI

  Screenshot_2017-09-13-21-54-36-1

  Mahitaji

  unga wa ngano vikombe 4

  tui la maji kikombe 1

  yai 1 (si lazima)

  chumvi kiasi

  sukari kijiko 1 cha kula

  mafuta ya kupikia vijiko 2 vya kula

  maji robo kikombe

  Screenshot_2017-09-13-21-37-58-1.png

  MATAYARISHO

   1. changanya mahitaji yako yote isipokua maji, changanya kwa dakika 1 kwa kutumia mkono au machine Screenshot_2017-09-13-21-38-21-1.png
   2. tia maji robo kikombe , kanda mpaka donge liwe laini, kadiri utakavokanda unga ukawa laini ndio kadiri chapati zitakavokua laini Screenshot_2017-09-13-21-39-11-1.png
   3. donge lkiwa linanyata engeza unga wa ngano kiasi
   4. utoe uweke sehem ya kukandia ugawe madonge madogo 5 sawa sawa na yafanye duara donge.png
   5. chukua donge moja moja sukuma duara pakaza mafuta kijiko 1 juu ueneze, kunja kufanya mstari mwembamba na mrefu na ukunje duara
   6. malizia zilobaki na ziwache zijivute kwa muda wa dakika 15 au Zaidi chapati 1.png
   7. weka chuma kwenye moto wa kiasi kikipata , sukuma chapatti moja moja na uchome upande 1 ukiwiva geuza wa pili pika kwa sekunde 30 ,weka mafuta kijiko 1 au 2 ipike mpaka itokee na rangi nzuri unayoipenda, itoe    chapo.png

  INGREDIENTS

  4 cups all purpose flour

  1 cup coconut milk

  1 egg (option)

  salt

  1 tbsp. sugar

  2 tbsp. cooking oil

  1/4 cup water

  METHOD

  1. mix all the ingredients together except water, mix for one minute by using hands or mixer
  2. add 1/4 cup of water and knead until soft , the more you knead the dough the soft the softer the chapattis will be
  3. if the dough is too sticky add some flour
  4. place the dough on a work surface , divide in to 5 equal parts, shape each part in to a ball
  5. roll each dough into a circular shape add 1 tbsp. of oil on top and start folding and make a coil shape
  6. repeat with the other 4 balls, let them rest for 15 minutes or more
  7. heat the pan, roll your chapatti into round shape, place on a hot pan and cook on a medium heat, when the first side is done flip the other one cook for 30 seconds, add 1 or 2 tbsp. of cooking oil and cook until you get a nice colour

  chapo 2.jpg

  MAANDAZI YA ILIKI NA CUSTARD / CARDAMOM AND CUSTARD MANDAZI 

  MAHITAJI

  Unga wa ngano vikombe 2 na nusu

  Tui zito la maji kikombe 1

  iliki kijiko 1

  Unga wa custard vijiko 3 vya chakula

  Yai 1

  Sukari vijiko 4 vya chakula

  Mafuta ya kupikia kijiko 1 cha chakula

  Hamira kijiko 1 cha chakula

   MATAYARISHO

  1.Kwenye bakuli tia tui na hamira koroga kidogo, tia Iliki ya unga,mafuta ya kupikia ,sukari na yai , koroga kidogo kuchanganya na uhakikishe hamira imeyayuka

  1. Pembeni changanya unga wa ngano na custard powder
  2. Anza kutia unga kwenye bakuli la kukandia lenye mchanganyiko wa hamira, mpaka donge likichanganyika ukande unga

  4. Haakikisha unga ni mlaini na haugandi kwenye vidole

  1. Pakaza bakuli mafuta uweke unga ufunike mpaka uumuke kiasi au mara mbili yake

  1. Ugawe madonge 4 sawa na uyafanye duara

   

  1. Pakaza unga kwenye sehem yako ya kusukumia sukuma donge moja moja duara ukate mara 2 kupata maandazi 4

  1. Yapange sehem yaumuke
 • Teleka mafuta yakipata moto choma kwa moto wa kiasi , ukiwiva upande 1 geuza wa pile mpaka yapige flour  ya light brown na yatoe

 • Enjoy na chai

  Angalia video hapa


  INGREDIENTS

  Bread flour 2 1/2 cups

  Coconut milk 1 cup

  Cardamom powder 1 tablespoon

  Custard powder 3 tablespoon

  1 egg

  White sugar 4 tablespoon

  Cooking oil 1 tablespoon

  Dried yeast 1 tablespoon

  METHOD

  1.In a kneading  bowl pour coconut milk and dried yeast, mix a little bit then add cardamom powder, cooking oil, sugar and egg ,mix well

  1. In a separate bowl , mix flour and custard powder
 • Start adding flour in a kneading bowl until the dough is formed,  knead

 • Make sure the dough is soft and doesn’t stick to your fingers

 • In a empty bowl grease some oil and leave the dough to rise

 • 6  Divide in to 4 equal small doughs and make them round

  1. Dust a flour on your work surface,  roll each dough and cut into 4 quarters
 • Let them rise again for few minutes

 • Heat the oil when hot fry in a medium heat until light brown both sides then remove

 • And enjoy with tea
  click to watch full video below
  http://www.youtube.com/watch?v=X6w5NqvRvjs

  SOFT DOUGHNUTS/DONUTS LAINI (Swahili&English)

   

  Soft doughnuts

  MAHITAJI

  Unga wa ngano vikombe 2

  Maziwa kikombe 1(ya uvugu vugu)

  Sukari kijiko 1 cha chakula

  Chumvi kiasi

  Yai 1

  Hamira kijiko 1 cha chakula

  Arki ya vanilla kijiko 1 cha chai

  Rangi ya orange kidogo(si lazima)

  Siagi kijiko 1 cha chakula

  Mafuta kwa ajili ya kuchomea

  Sukari nusu kikombe au zaidi (kwa ajili ya kuweka juu)
  MATAYARISHO

  1. Tia maziwa ya uvugu vugu kwenye bakuli ,pamoja na sukari kijko 1,chumvi,hamira,yai,arki na rangi ya orange
  2. Koroga vizuri wacha kwa dakika 2 hadi 3, na ufunue ukoroge tena

  1. Tia unga wa ngano kidogo kidogo huku unachanganya mpaka unamaliza

  4.tia siagi kijiko 1 cha chakula ,changanya ,unga utakua unanyata(kushikana na mikono) ila   ukande kwa mkono au mixer mpaka unga uwe mlaini( pakaza mafuta mikono yako ili usigandie kwenye mikono)

  1. Utie unga ulioukanda kwenye bakuli uliopaka mafuta ufunike wacha uumuke mara mbili zaidi yake

  6.ukiumuka utoe uchanganye , pakaza unga sehem ya kukandia ,weka donge la unga na ulitie unga juu yake

  1. Sukuma unga kwa kutumia kifimbo cha kusukumia chapati, unga usiwe mwembamba sana wala mnene sana ( inch 10-12 ) kulingana na unene utakaopenda

  8.tumia chombo chochote cha kukatia donut , donat cutter au hata glass na kifuniko

  9. Pakaza unga trey au sehem ziweke  ziumuke tena kama dakika 5 au 10

  1. Teleka mafuta yapate kiasi na uchome donuts zako pande zote mbili ziwe na rangi ya yellow ya kukoza na uzitoe ,ziweke kwenye tishu zijichuje mafuta

  11. Wacha zipoe

  1. Zizungushie sukari ya kawaida nyeupe

  Enjoy! Na chai au juice


  INGREDIENTS

  2 cups all purpose flour

  1 cup whole milk (warm)

  1 tablespoon granulated sugar

  Half of teaspoon salt

  1 egg

  1 tablespoon dried yeast

  1 teaspoon vanilla essence

  A pinch of orange food colour (option)

  1 tablespoon butter

  Oil for frying

  Sugar for coating

  1.Put warm milk in a bowl then add 1 tbsp of sugar, salt,yeast,vanilla essence

  1. Mix well and cover for 2 to 3 mins , mix again for few seconds

   

  • Add flour to the mixture and combine together
  • Add butter and start kneading, the dough will be very sticky  , use a mixer instead or apply some cooking oil to your hands so that it doesn’t stick to your fingers. Knead until soft

   

  1. Transfer the dough to an oiled bowl,cover and let it rise until doubled in size
  1. Dust some flour in your work surface , place the dough and put some flour in it

   

  • Using a rolling pin,  roll your dough  into 10 to 12 inch circle ,depend on the size you want
  • Cut the donut shapes using your preferred doughnuts cutter

   

  9.flour the surface or trey , place the doughnuts and let them rise again  for 5 to 10 mins

  1. Heat the oil in a medium heat, when the oil is hot fry the doughnuts both sides , until golden yellow , remove the doughnuts and drain on a paper towel

   

  • Wait until completely cool
  • Coat them with some sugar

   

  Enjoy! with tea or juice

  Continue reading “SOFT DOUGHNUTS/DONUTS LAINI (Swahili&English)”

  SALTED COOKIES / VILEJA VYA CHUMVI

  MAHITAJI 

  Siagi vijiko 6 vya chakula

  Chumvi kiasi

  Viini vya mayai 2

  Baking powder kijiko 1 cha chai

  Custard powder kijiko 1 cha chakula

  Maziwa ya maji vijiko 4 vya chakula 

  Unga wa ngano kikombe 1  

  Yai 1 la kupakia juu 

  Arki unayopenda(nimetumia vanilla na ya chungwa) kijiko ki1 ki1 cha chai 

  Ufuta (si lazima)   

  Sukari kijiko 1 cha chakula (si lazima)

  MATAYARISHO 

  1. Kwenye bakuli weka siagi,maziwa,viini ya mayai , baking powder, custard powder, chumvi,arki na sukari

  2.Saga kwa kutumia mwiko,mchapo au machine ya kusagia kwa muda wa dakika 3 hadi 5

  1. Anza kuweka unga wa ngano huku unachanganya 

  1. Unga ukichanganyika ukawa donge , likande kwa dakika 2 hadi 3

  1. Lifunike,liweke  sehem lijivute kwa dakika 7 hadi 10 

   6.pakaza mafuta trey yako 

  1. Baada ya dakika 7 hadi 10 , lisukume kwa kutumia kifimbo cha chapati  mpaka uwe size , isiwe nyembamba sana 

   8. Kata kwa kutumia kifaa chochote cha kukatia vileja 

  1. Vipange kwenye trey , vipakaze yai juu na ufuta 

  10 . Vichome kwa oven moto 180°c kwa dakika 10 hadi 15 au mpaka uone vimewiva na kubadilika rangi,  vitoe (manjano ilokoza)

  *Unaweza kutumia mkaa pia kuokea. 

  ENJOY NA CHAI AU KAHAWA  

  angalia video yake hapa chini

  ____ 

  INGREDIENTS 

  6 tablespoons butter, 1/3 cup

  Salt to taste

  2 egg yolks 

  1 teaspoon baking powder 

  1 tablespoon custard power 

  Whole milk 4 tablespoons 
    
  1 cup plain flour 

  1 egg 

  Essence ( i used vanilla and orange)  teaspoon each 

  Sesame seeds for garnishing (option) 

  1 tablespoon granulated sugar (option) 

  METHOD 

  1. In a bowl, put butter,milk,eggyolks,baking powder, custard powder, salt,essence and sugar
  2. Mix by using a wooden spoon, wisk or mixer machine for 3 to 5 mins 

  3. After that, start adding flour while continuing mixing 

  4. When dough has formed,  knead for 2 to 3 mins

  5.cover and let it rest for 7 to 10 mins

  1. Grease a baking tray 
 • After 7-10 mins, roll up your dough using a rolling pin until the dough is the right width and thickness (not too thick) 

 • Cut the cookies using any cutter 

 • Place them in a greased baking tray , brush some egg and sesame seeds on top 

 • Bake at 180°c oven temperature for 10-15 mins or until you get a perfect golden yellow 

 •  ENJOY with tea or coffee  .

  http://www.youtube.com/watch?v=FsODf835f3M

  HOW TO MAKE CONDENSED MILK AT HOME/JINSI YA KUTENGENEZA MAZIWA MAZITO NYUMBANI


  Ni rahisi sana kutengeneza maziwa mazito nyumbani kwa mahitaji ya vitu viwili tu 

  Maziwa ya maji vikombe 2

  Sukari nyeupe kikombe 1

  MATAYARISHO 

  1. Kwenye pan yamoto tia sukari na maziwa

  2.koroga kwa sekunde 30 au dkk 1 

  3.wacha yachemke kwa moto wa kiasi

  4.uwe unakoroga mara kwa mara (kila baada sekunde 30 au dakika 1 ili maziwa yasigande au kuunguwa 

  5.wacha yachemke kwa moto wa kiasi mpaka yawe mazito yanavyotakikana kwa muda wa dakika 20 hadi 25 


  6.zima moto wacha yapoe 

  7.yapo tayari kutumiwa au yahifanyi kwenye kikopo cha mfuniko 

  angalia video yote hapa


  it is very easy to make condensed milk at home with just 2 ingredients 
  2 cups full fat milk 

  1 cup granulated white sugar 

  METHOD 

  1. In a hot pan ,pour milk and sugar 
  2. stir for 30 seconds to 1 min

  3.boil on a medium heat 

  4.keep stirring every after 30 senconds to 1 min so that it doesn’t stick to the pan 

  1. Boil until thickened to desired consistency 
 • Turn of the heat and let it cool

 • Ready to use or store in a airtight container 
  watch full video here
  http://www.youtube.com/watch?v=6TGa05F4YU4

 • ____ 

  VILEJA VYA TAMBI (sweet roasted vermicelli balls) 

  MAHITAJI

  Tambi nyembamba mfuko 1 (200 g)

  Samli vijiko 3 vya chakula

  Maziwa mazito nusu kikopo (200g)

  Zabibu kavu nusu kikombe

  Arki ya vanilla kjk 1 cha chai
  MATAYARISHO

  1. Vunja vunja tambi ziwe ndogo ndogo sana

  1. Teleka sufuria tia samli ikipata moto tia tambi

  3.koroga uwe unazivunja vunja kwa mwiko mpaka ziwe brown kiasi (dakika 3-5) kwa moto wa kiasi

  1. Tia maziwa mazito na zabibu kavu ,changanya

  5.tia arki ,changanya kwa sekunde 30 au dkk 1 ,zima jiko

  1. Tumia  vikombe vya kahawa au kitu chochote kutolea shape, vipake mafuta, tia tambi zako zikiwa bado zamoto kikombe karibia kijae ,didimiza kwa kutumia kijiko weka pembeni

  7.malizia zilobaki

  8.baada ya dakika 1 au 2 vitoe taratibu, tumia ujiti kuanzia kutoa ukiona vinafanga tabu kutoka.

  1. Vipange kwenye sahani
  2. Enjoy.

  http://www.youtube.com/watch?v=qtmA5F2FIg8


  INGREDIENTS

  Roasted vermicelli 1 packet /200g

  Ghee 3 tbsp

  Condensed milk 100g

  Red or black raisins 1/2 cup

  Vanilla essence 1 tsp

  METHOD

  1.Break the roasted vermicelli into smaller pieces

  1. Heat the ghee , add roasted vermicelli
 • In a medium heat, keep breaking the vermicelli using a wooden spoon ,while mixing until light brown

 • Add condensed milk and raisins, mix well

 • Add 1 tsp of vanilla essence, mix for 30 secs to 1 minute,  switch off the heat.

 • Use a small coffee cups or any round shaped mould to get the perfect shape (see the pictures above) use a spoon, put some cooked roasted vermicelli  almost full while still hot use  back of the spoon to tighten the balls , keep aside

 • Repeat the process

 • After 1 or 2 mins remove them out of the cups/moulds . If they are not coming out easily, use a wooden stick

 • Serve

 • Enjoy.

 • MAKANGE YA SAMAKI/FISH MAKANGE (English & Swahili)

  MAHITAJI

  Samaki alokaangwa vipande 3

  Vitunguu vichanga vilokatwa katwa kikombe 1

  Mafuta ya kupikia vjk 3-4

  Kitunguu saum+tangawizi mbichi kjk 1 cha kula

  Pilipili hoho rangi 3

  Carrot 1

  Tomato fresh 2

  Chumvi kiasi

  Bizari nyembamba + pilipili manga kjk 1 cha kula

  Curry powder kjk 1 cha kula

  Spice ya samaki kjk 1 cha kula

  Bizari ya mchuzi kjk 1 cha chai

  Pilipili paste au nzima

  Soya sauce ya kukoza vjk 3 vya kula(si lazima)

  Maji nusu kikombe
  1. Tia mafuta kwenye pan kaanga vitunguu vichanga

  2 tia kitunguu saum na tangawizi mbichi,

  3.tia pilipili hoho na carrot ulizozikata kata nyembamba na refu,funika wacha ziwive kiasi (dkk 2)

  4.tia tomato zilizosagwa au kukatwa katwa na chumvi ,funika wacha dakika 2-3

  5.tia samaki wa kukaanga

  6.tia bizari nyembamba,pilipili manga,curry powder, spice ya samaki,bizari ya mchuzi, soya sauce,pilipili, vitunguu vichanga,ndimu au limau na maji.

  1. Koroga wacha kwa dakika nyengine 3-5 kwa moto wa kiasi ,mpaka ikauke kiasi ,

  8.onja chumvi kama ipo sawa epua na

  9.ENJOY

  Angalia video hapa


  INGREDIENTS

  Fried fish 3 pieces

  Chopped spring onion 1 cup

  Cooking oil 3-4 tbsp

  Ginger+garlic 1 tbsp

  Mixed peppers 3 colours (cut into lines)

  1 carrot (cut into lines)

  2 fresh tomatoes

  Salt to taste

  Cumin powder + black pepper 1 tbsp

  Curry powder 1 tbsp

  Fish seasoning 1 tbsp

  Cumin powder 1 tsp

  Chilli paste or fresh chilli 1 tbsp

  Dark soya sauce 3 tbsp (option)

  1/2cup water

  1.Put oil in a pan, fry spring onion

  2.add ginger+garlic paste

  3.add mixed peppers and carrots ,let it cook for 2 mins

  4.add chopped or blended tomatoes and salt, cover let it cook for 2 to 3 mins

  5.add fried fish

  6.add cumin powder+black pepper, curry powder, fish seasoning, tumeric powder, chilli paste or chopped fresh chilli,dark soya sauce,spring onion,lemon or lime juice and water

  7.stir, let it cook in a medium heat for another 3 to 5 mins or until thickened

  8.taste to adjust the salt

  9.ENJOY
  Watch full video here: