TUNA/FISH KEBAB / KABAB ZA TUNA

fish kebab pic
MAHITAJI

Tuna/samaki wa kikopo 1(awe mkavu kabisa)

kitunguu maji kidogo 1(kikate kate)

chenga za mkate vijiko 2 vya chakula

majani ya coriander (kata kata)

kiini cha yai 1

chenga au pilipili ya unga kiasi

bizari nyembamba kjk 1 cha kula

garam masala kjk 1 cha kula

kitunguu saum na tangawizi kjk 1 cha kula

chumvi kiasi

maji ya ndimu au limau 1

MATAYARISHO

  1. kwenye bakuli tia kila kitu pamoja
  2. changanya mpaka vichanganyike vizuri
  3. chukua vjk 2 vya mchanganyiko wa samaki fanya shape ya duara kisha izo duara zifanye flat/bapa(zibatize) PhotoGrid_1505948506613.png
  4. kaanga/chonma kwa mafuta kidogo
  5. upande 1 ukiwiva geuza wa pili mpaka ziwe rangi ya brown na uzitoe .  enjoy na ketchup , pilipili au sauce yoyoyte.
  6. PhotoGrid_1505948621633.png

 

INGREDIENTS

1 can tuna steak

1 small onion(chopped)

2 tbsp. bread crumbs

coriander leaves(chopped)

1 egg yolk

1 tsp chilli flakes/powder

1 tbsp. cumin powder

1 tbsp. garam masala

1 tbsp. ginger garlic paste

salt to taste

1 lime /lemon juice

METHOD

  1. in a bowl put all the ingredients
  2. give a good mix
  3. take 2 tbsp. of fish mixture, make a ball  shape and then flatten the ball ( you will get 6-7balls)
  4. shallow fry
  5. when the first side is done flip the other one , fry until brown and the remove. enjoy with ketchup,chilli sauce or any sauce of your choice.

 

WATCH FULL VIDEO HERE ; ANGALIA VIDEO YOTE HAPA

 

 

 

 

 

 

Leave a comment